Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akisalimiana na Viongozi wakiwemo wawekezaji Kampuni na wadau wa
maendeleo wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira
na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in
Zanzibar”uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani
Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akisalimiana na Viongozi wa mbali mbali wakati wa uzinduzi wa
Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth
Development Carrier Fair in Zanzibar”uliofanyika leo katika Ukumbi wa
Salama,Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akizungumza na Waziri wa Ofisi ya Rais,Kazi na Utumishi wa Umma Haroun
Ali Suleiman kabla ya uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya Fursa za
Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in
Zanzibar”uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani
Mjini Unguja.
Baadhi
ya Viongozi wa Idara za Serikali ya Mapinduzi walioshiriki katika
uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa
vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”uliofanyika leo
katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.
Vijana
walioshiriki katika uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya Fursa za Ajira
na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamd Shein alipozungumzanao leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli
ya Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Tamasha la Maonesho ya Fursa
za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in
Zanzibar” uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani
Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akipata maelezo kutoka kwa Taki Dewji wa banda la Shell wakati
alipotembelea mabanda mbali mbali mara baada ya kuzindua rasmi Maonesho
ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier
Fair in Zanzibar” leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani Mjini
Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akipata maelezo kutoka kwa Rose Tesha Meneja Vipindi katika banda la VSO
wakati alipotembelea mabanda mbali mbali mara baada ya kuzindua rasmi
Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development
Carrier Fair in Zanzibar” uzinduzi uliofanyika leo katika Ukumbi wa
Salama,Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Ameir Ali Ameir katika Wizara ya
Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma wakati alipotembelea banda
la maonesho baada ya kuzindua rasmi Maonesho ya Fursa za Ajira na
Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”
uzinduzi uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani
Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akipata maelezo kutoka kwa Mussa Ngwali Ahmed, katika banda la TUPOMOJA
wakati alipotembelea mabanda mbali mbali baada ya kuzindua rasmi
Maonesho ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development
Carrier Fair in Zanzibar” uzinduzi uliofanyika leo katika Ukumbi wa
Salama,Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akipata maelezo wakati alipotembelea banda la Mfuko wa Uwezaji Wananchi
Kiuchumi katika maonesho ya ya Fursa za Ajira na Uzalishaji kwa vijana
“Youth Development Carrier Fair in Zanzibar” baada ya uzinduzi
uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
akipata maelezo kutoka kwa Kirtikumar B.Dave Meneja katika kampuni ya
maziwa ya Azam wakati alipotembelea katika maonesho ya Fursa za Ajira
na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in Zanzibar”
baada ya uzinduzi uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya
Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamd Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa maonesho ya Fursa
za Ajira na Uzalishaji kwa vijana “Youth Development Carrier Fair in
Zanzibar” uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama,Hoteli ya Bwawani
Mjini Unguja. [Picha na Ikulu.]
EmoticonEmoticon