Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Taasisi ya ESAMI iliyopo
Njiro Hill Mkoani Arusha alipowasili kwenye Taasisi hiyo leo Novemba
22,2014 kuhudhuria Mahafali ya nane ya Taasisi hiyo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal wa pili kulia na Viongozi wa Taasisi ya ESAMI iliyopo Njiro Hill
Mkoani Arusha akiongoza maandamano ya mahafali ya nane ya Taasisi hiyo
yaliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimkabidhi cheti Witness Steven mhitimu wa Shahada ya MBA katika
Taasisi ya ESAMI Kampas ya Dar es salaam kwenye mahafali ya nane ya
Taasisi hiyo iliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimkabidhi cheti Leah Mumbua mhitimu wa Shahada ya MBA katika
Taasisi ya ESAMI Kampas ya Nairobi kwenye mahafali ya nane ya Taasisi
hiyo iliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wahitimu wa fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya
Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani
Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi kwenye Mahafali ya nane
ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani
Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati akiwa katika picha pamoja na Viongozi na Wahitimu wa Fani
mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika
leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha. (Picha na OMR)
EmoticonEmoticon