Octoba
11 ya kila mwaka ni siku iliyopitishwa na Baraza kuu la Umoja wa
Mataifa kuwa Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani kote. Maadhimisho haya yalifanyika katika Hoteli ya Double Tree, Dar es Salaam.
Washiriki wa maadhimisho hayo wakiwa katika picha ya pamoja.
Mmoja
wa washiriki waliofika kwenye hafla hiyo ya maadhimisho ya siku ya
Kimataifa ya Mtoto es Kike yaliyoratibiwa na WiLDAF akichangia mada.

















EmoticonEmoticon