Picha namba moja mpaka sita ni Gari aina ya Scania lenye namba za usajili T.545 ANG lililokuwa limebaba chokaa ikipelekwa nchini Kongo likiwa limepiduka karibu na eneo na Mizani Majani Mapana jijini Tanga
juzi,ajali hiyo ilitokea wakati wa gari hilo likitaka kuingia mizani ambapo dereva alipotaka kurudi nyuma akaingia kwenye mtaro baada ya tela kuyumba dereva na utingo wake walisalimika katika tukio hilo
ambalo lilitoka jana saa kumi na moja jioni,

DEREVA wa Lori na Utingo wake wamenusurika kifo baada ya lori aina ya Scania waliliokuwa wamepanda kupinduka eneo la Mizani jijini Tanga wakati likitoka na kuelekea nchini Kongo likiwa limepakia Chokaa baada ya kumaliza kupima.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Fresser Kashai alithibtihisha kutokea tukio hilo ambapo alisema kuwa baada ya kumaliza kupima uzito wakati lori hilo lilirudi nyuma lilipitiliza na hatimaye kuingia mtaroni mkubwa wa kupitisha maji uliopo pembezoni mwa reli na kupinduka.
Alisema kuwa tukio hilo lilitokea saa kumi na moja jioni ambapo
alisema kutokuwa makini kwa dereva huyo ndio kulipelekea ajali hiyo ambapo utaratibu lori hiyo kupelekwa kwenye kituo cha Polisi Mabawa kwa ajili ya taratibu nyengine unaendelea.
Alimtaja utingo wa lori hilo kuwa ni Emanuel Kwai ambaye aliweza
kunusurika kwenye ajali hiyo yeye pamoja na dereva wake ambaye jina lake halikuwepo kupatikana mara moja.
Aidha, Kamanda Kashai alitoa wito kwa watu wanaotumia vyombo vya moto kuhakikisha wanazingatia sheria za usalama barabarani ili kuweza kuepuka ajali zisizo za ulazima ambayo wanaweza kukutana nazo.
Hata hiyo aliwaonya madereva hao kuacha kuendesha magari mwendokasi kasi kwa sababu hali hiyo huchangia asilimia kubwa ongezeko la ajali ambazo wakati mwengine hupelekea kupoteza maisha ya wananchi pamoja na mali zao

EmoticonEmoticon