Rais
Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba
15, 2014. Kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali
Rais
Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa vyombo vya
ulinzi na usalama waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014. Kulia ni
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali
Rais
Kikwete akisindikizwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali
wakati alipokuwa anaondoka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam kuelekea Marekani Septemba 15, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili New York, Marekani. Kulia Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi akifuatiwa na Mama Upendo Manongi Septemba 16, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakilakiwa na maofisa
mbalimbali wa Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa baada ya
kuwasili New York, Marekani, Septemba 16, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakilakiwa na maofisa
mbalimbali wa Tanzania baada ya kuwasili New York, Marekani, Septemba
16, 2014. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon