Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa
wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine
wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU)
kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi
linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.
Inspekta
Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis
Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa
mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi katika mkutano wa
Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kuzungumzia
masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa
ujumla.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakiteta jambo
katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi
katika mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika
(AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tishio la ugaidi
linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla.
Nyimbo
za AU na Kenya zikipigwa kabla ya mkutano wa kuzungumzia masuala ya
tishio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi.
EmoticonEmoticon