Prof.
Betria Mapunda ambae amemwakilisha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es
salaam akifungua semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa
Waajiri kwa lengo la Kutoa elimu juu ya huduma zitolewazo na mfuko huo
wa Pensheni wa PPF katika ukumbi wa Seaescape, Uliopo Mbezi Beach Jijini
Dar Es Salaam.
Meneja
wa Kanda ya Kinondoni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahara Kayugwa
akitoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Penhsheni wa PPF
kwaa Waajiri wa Makampuni na mashirika mbalimbali iliyofanyika katika
ukumbi wa Seaescape, Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam leo.
Mgeni Rasmi Prof Betria Mapunda akiwa katika picha ya Pamoja na Waajiri pamoja na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF leo katika Semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF iliyofanyika Katika Ukumbi wa Seascape Hotel Mbezi Beach Jijini Dar.
Baadhi
ya Waajiri kutoka Mashirika na makampuni mbalimbali wakifuatilia kwa
makini mada zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya wafanayakazi wa Mfuko Wa
Pensheni wa PPF.
Majaliwa
E Mkinga, Mchambuzi na Mtengenezaji wa Mifumo ya Teknolojia ya habari
na mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akielezea jinsi PPF
ilivyotengeneza mfumo wa kupata taarifa za wanachama kupitia simu aina
za Smartphone na kuutaja mfumo huo kuwa ni PPF TAARIFA App ambayo mteja
ataweza kuiweka katika simu yake ya mkononi.
Baadhi
ya waajiri wakielekeza kuhusu jinsi ya kuweka mfumo wa PPF Taarifa
katika simu zao za Smartphone leo katika semina iliyofanyika katika
Ukumbi wa Seascape hotel Mbezi beach Jijini Dar Es Salaam.
Meneja
wa Kanda ya Kinondoni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahara Kayugwa
akiwaelezea waajiri waliohudhuria semina iliyoandiliwa na mfuko wa
pensheni wa PPF leo jinsi kanuni mpya inavyofanya kazi kwa wanachama ili
kuweza kupata mafao yao kutoka mfuko wa pensheni wa PPF.
Mgeni Rasmi Prof Betria Mapunda akiwa katika picha ya Pamoja na Waajiri pamoja na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF leo katika Semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF iliyofanyika Katika Ukumbi wa Seascape Hotel Mbezi Beach Jijini Dar.
Mmoja
wa waajiri akiuliza swali kwa Meneja wa Kanda ya Kinondoni wa Mfuko wa
Pensheni wa PPF, Bi Zahara Kayugwa (hayupo pichani) wakati wa semina
iliyoandaliwa na mfuko wa pensheni wa PPF iliyokuwa na lengo la
kuwaelimisha waajiri kuhusiana na huduma mbalimbali za PPF ikiwemo
huduma mpya ya PPF Taarifa App.Picha zote Na Josephat Lukaza - Lukaza
Blog
EmoticonEmoticon