Kushoto ni Mganga Mkuu wa kituo cha Afya Makorora jijini Tanga,Jestina Msumari akimpia urefu mtoto Andrew William mkazi wa Chumbangeni ikiwa kampeni ya kupima afya za watoto waliochini ya
miaka mitano na wazee walio na umri wa juu ya miaka 60 iliyoanzishwa na Mfuko wa bima ya Afya mkoa wa Tanga(NHIF) jana kushoto ni Meneja waMfuko huo,Ally Mwakababu,
Mganga Mkuu wa kituo cha Afya Makorora jijini Tanga,Jestina Msumari akimpia urefu mtoto Jumanne Mohamed ikiwa kampeni ya kupima afya za watoto waliochini ya miaka mitano na wazee walio na umri wa juu ya miaka 60 iliyoanzishwa na Mfuko wa bima ya Afya mkoa wa Tanga(NHIF) jana kushoto ni Meneja wa Mfuko huo,Ally Mwakababu
|
Mganga Mkuu wa kituo cha Afya Makorora jijini Tanga,Jestina Msumari akimpia urefu mtoto Aisha Juma ikiwa kampeni ya kupima afya za watoto waliochini ya miaka mitano na wazee walio na umri wa juu ya miaka 60 iliyoanzishwa na Mfuko wa bima ya Afya mkoa wa Tanga(NHIF)kushoto ni Meneja wa Mfuko huo mkoa wa Tanga,Ally Mwakababu, |
Share this
EmoticonEmoticon