Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama
Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa
la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza
hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za
barabarani nchini. Kulia kwa Mwenyekiti ni Katibu wa Baraza hilo ambaye
pia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Mohamed
Mpinga. Mkutano huo ambao unaenda sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya
Nenda kwa Usalama Barabarani unafanyika katika hoteli ya Golden Rose
jijini Arusha leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama
Barabarani, Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa
la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza
hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za
barabarani nchini. Kushoto ni Katibu wa Baraza hilo ambaye pia ni
Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga.
Kulia ni Mwenyekiti wa Mafunzo na Uenezi wa Baraza hilo, Henry Bantu.
Mkutano huo ambao unaenda sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa
Usalama Barabarani unafanyika katika hoteli ya Golden Rose jijini Arusha
leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu
wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Kamanda wa Kikosi cha
Polisi Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga akizungumza na Wajumbe
wa Baraza hilo kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo
ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za
barabarani nchini. Katikati ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na
Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani nchini, Pereira Ame Silima.
Kulia ni Mwenyekiti wa Mafunzo na Uenezi wa Baraza hilo, Henry Bantu.
Mkutano huo unaenda sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani unafanyika katika hoteli ya Malaika Beach Resort jijini
Mwanza leo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Usalama Barabarani kutoka mikoa yote chini wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Baraza hilo, Pereira Ame Silima (hayupo pichani) katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Mkutano huo unaenda sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani unafanyika katika hoteli ya Golden Rose jijini Arusha leo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
EmoticonEmoticon