Katibu
Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu akizindua semina ya Mfuko wa Bima ya Afya
na Watendaji na wachezaji wa Klabu ya Yanga iliyofanyika jana makao
makuu ya klabu hiyo mtaa Jangwani katikati ni Mkurugenzi
wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na kushoto ni Christopher Mapunda
Meneja wa NHIF Wilaya ya Ilala klabu ya Yanga imekuwa ya kwanza kuanza
utaratibu wa kuijunga na mfuko wa Bima ya afya. Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akizu.ngumza na watendaji wa Yanga na wachezaji wakati wa semina hiyo jana Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti akizu.ngumza na watendaji wa Yanga na wachezaji wakati wa semina hiyo jana Mmoja
wa maofisa wa Mfuko wa Bima ya Afya akiwaonyesha makocha wa Yanga
baadhi ya picha alizpoiga nao Kulia ni kocha wa yanga Marcio Maximo. Christopher Mapunda Meneja wa NHIF Wilaya ya Ilala akitoa mada wakati wa semina na wachezaji wa timu ya Yanga jana. Baadhi ya wachezaji na maofisa pamoja na wanachama wa Yanga wakiwa katika semina hiyo. Baadhi ya wanachama wa Yanga wakiwa katika semina hiyo kushoto ni mwanachama wa Yanga Bw Said Hassan Kipara
Katibu Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu akizungumza katikasemina hiyo kulia niHance John Mwankenja Afisa Matekelezo wa NHIF
Mmoja wa maofisa akigawa majarida yanayoelezea faida za Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii katika semina hiyo
Ofisa Mawasiliano mwandamizi NHIF Bw. Luhende Andrew Singu akizungumza na wachezaji hao jana wakati wa semina hiyo
EmoticonEmoticon