Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa shule ya Msingi ya Kakuni
wilayani Mlele Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka Sumbawanga
kuelekea Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Rajab Rutengwe.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua shule ya Sekondari ya Magnificat
wilayani Siha Septemba 20, 2014. Kushoto ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee wa Mpanda baada ya
kuzungumza na mjini Mpanda Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka
Sumbawanga kuelekea Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kampuni
ya POWERCHINA, Bw. Wang Bin kabla ya mazungumzo yao mjini Dodoma
Septemba 23, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon