Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu
Mstaafu, Bw. Cleopa Msuya akifafanua jambo, wakati akizungumza na wana
hisa wa kampuni hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka, uliofanyika Dar
es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Bw. Roberto Jarrin na
Kampuni wa Kampuni hiyo, Bw. Huruma Ntahema.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu
Mstaafu, Bw. Cleopa Msuya akifafanua jambo, alipozungumza na wana hisa
wa kampuni hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka, uliofanyika Dar es
Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Bw. Roberto Jarrin. (Na
Mpigapicha Wetu)
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Roberto Jarrin (kulia),
akitata jambo na Maofisa wa shirika hilo, Mkurugenzi wa Afrika
Mashariki, Bw. Mario Van Gelden (kushoto) na Mkurugenzi wa Rasilimari
watu, Bw. David Magese, wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa wana hisa,
uliofanyika Dar es Salaam
Mkurugenzi akibadilishana mawazo na baadhi ya wanahisa wa TBL
Baadhi ya wanahisa wakiwa katika mkutano huo
Mmoja wa wanahisa akiuliza swali katika mkutano huo
Mwanahisa akiuliza swali katika kijiji hicho
Meza kuu
Wanahisa
EmoticonEmoticon