Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kama ishala ya kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi
uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na
kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani
mbalimbali, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo Septemba 19, 2014
kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri
wa Kazi, na Ajira, Gaudensia Kabaka (kushoto) ni Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi
uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na
kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani
mbalimbali, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika leo Septemba 19, 2014
kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Baadhi washiriki katika hafla hiyo ya uzinduzi wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa mafunzo hayo, Charles
Gwambassa, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa Utambuzi wa
ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya
kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana
waliojifunza fani mbalimbali. Hafla hiyo ilifanyika leo Septemba 19,
2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa mafunzo hayo, Mwajuma
Massoud, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa Utambuzi wa
ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya
kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana
waliojifunza fani mbalimbali Hafla hiyo ilifanyika leo Septemba 19,
2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa mafunzo hayo, Tumpe
Samwely, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa Utambuzi wa
ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya
kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana
waliojifunza fani mbalimbali Hafla hiyo ilifanyika leo Septemba 19, 2014
kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya viongozi wa VETA na
washiriki na wadau waliohudhuria uzinduzi huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya wahitimu wa mafunzo hayo
katika Chuo cha VETA na wakufunzi wao baada ya uzinduzi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya wawakilishi kutoka
Shirika la Kazi Duniani ILO waliohudhuria uzinduzi huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri wa Kazi, na Ajira, Gaudensia Kabaka, wakati
akiondoka katika Hoteli ya Kunduchi Beach baada ya uzinduzi huo wa
mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo.
EmoticonEmoticon