Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wakati walipofika ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 11, 2014 kwa ajili ya
mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea baadhi ya machapisho ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kutoka kwa Rais wa Baraza hilo, Jaji Thomas
Mihayo, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT)
baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Kaimu Katibu Mtendaji na Meneja Nyaraka na Machapisho wa Baraza la
Habari Tanzania (MCT) John Mirenyi baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
EmoticonEmoticon