Diwani wa Chama cha
Wananchi (CUF) kata ya Marungu jijini Tanga,Bakari Mambea aliyejiunga na Chama
cha Mapinduzi (CCM)juzi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa
Tangamano mkoani Tanga wa pili kutoka kushoto akiwa anaongozwa na Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Wazazi Taifa Abdallah Bulembo wa pili kulia akila kiapo cha utii
kujiunga na viongozi wa CUF waliojiunga na chama hicho kulia ksuhoto kwake ni
Mwenyekiti wa CUF mtaa wa makoko jijini Tanga Abubakari Nguli naye alijiunga na
chama hicho,wa kwanza kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga Gustav Mubba,
MAMBEA AKISALIMIANA NA WANACHAMA WA CCM MARA BAADA YA KUWASILI UWANJANI. |
EmoticonEmoticon