Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakipata
maelezo na kuangalia vifaa vya upimaji eneo la mpaka kati ya Tanzania
na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa
Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande wa Burundi wakati wa sherehe
za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano
Agosti 27, 2014. Kushoto kwa Rais Kikwete ni Waziri wa Ardhi na
Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakiangalia moja ya alama katika
eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara
mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande
wa Burundi wakati wa sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa
mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. Kushoto kwa Rais Kikwete
ni Waziri wa Ardhi na Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka
EmoticonEmoticon