🗒️ *18 January,2025.*
📍📍 *Dodoma* 🇹🇿🌍.
🏓🏓Mbunge wa Vijana Taifa kupitia Mkoa wa Ruvuma na Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, *Mhe.Judith Kapinga* ,akiendelea na Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa,ulioanza leo tarehe *18 January,2025* mpaka *19 January,2025,Jijini* Dodoma✍️.
EmoticonEmoticon