Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Malawi Profesa Peter
Mutharika aliyemtembelea kumjulia hali kwenye hoteli ya Ritz Carlton
katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambamo
wote walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao
walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano
wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais
Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi,
ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri
na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.PICHA NA IKULU
Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika akisalimiana na Mama Salma Kikwete alipomtembelea
kumjulia hali Rais Kikwetev kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika
kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambamo wote
walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao walikuwa
miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano
wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais
Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi,
ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri
na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika
wakimsikiliza Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernard Membe kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha
George Town jijini Washington DC, Marekani, ambamo marais hao walikuwa
wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao walikuwa miongoni mwa
viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano
wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais
Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi,
ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri
na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Rais
wa Malawi Profesa Peter Mutharika akiomngea na Waziri wa mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kwenye hoteli ya Ritz
Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani,
alipomtembela kumjulia hali Rais Kikwete. Viongozi hao walikuwa
miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano
wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais
Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi,
ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri
na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Mke wa rais Mama Salma Kikwete akisalimiana kwa furaha na mke wa Rais wa Malawi Mama Getrude Mutharika walipokutana kwenye
hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini
Washington DC, Marekani. Rais Kikwete na Rais Mutharika, ambao
walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano
wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais
Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi,
ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri
na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika na
wake zao, Mama Salma Kikwete na Mama Getrude Mutharika, wakiongea kwa
furaha walipokutana kwenye

EmoticonEmoticon