Rais Kikwete akikagua jengo jipya la SACCOS ya Kinole baada ya kulizindua
Rais Kikwete akiwa ameongozana na Chifu Kingalu na Mwenyekiti wa SACCOS ya Kinole Mzee Issa Ramadhani Kambi baada ya kuzindua jengo la chama hicho kijijini Kinole
Rais
Kikwete na Chifu Kingalu wakiwatuza wacheza ngoma vijana wa kijiji cha
Kinole waliokuwa wakitoa burudani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika
katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Rais
Kikwete akimtambulisha Chifu Kingalu kwa Waziri wa Ujenzi Dkt John
Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa
shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Mama
Salma Kikwete akiongea na baadhi ya kinamama kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Mbunge
wa viti maalumu Dkt Lucy Nkya akiongea kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Umati wa wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera akitoa muhtasari na kukaribisha
wasemaji kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya
msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele akielezea mikakati ya
serikali ya kusambaza umeme vijijini kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wananchi na kueleza
mikakati ya serikali katika kuendeleza na kuboresha miundombinu nchini
kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi
ya Kinole Agosti 22, 2014
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mbunge Mhe Innocent Kalogeris
akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya
msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Rais
Kikwete akiongea na mtoto Rebecca Mbena ambaye ni mwanafunzi wa darasa
la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati wa mkutano wa hadhara
uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Mama Salma Kikwete akiongea na mtoto Rebecca Mbena ambaye ni
mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati
wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya
Kinole Agosti 22, 2014
Mama
Salma Kikwete akiongea na mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule
ya msingi ya Kinole wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika
uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Chifu Kingalu
Mama Salma Kikwete akiongea na mtoto Rebecca Mbena ambaye ni
mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati
wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya
Kinole Agosti 22, 2014. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon