Binti
ambaye hakuweza kufahamika jina lake kwa haraka (pichani chini), ambaye
alikuwa afunge ndoa na mchumba wake hivi karibuni, amepata ajali na
kufariki dunia akiwa na 'mchepuko'.
Aidha
imeelezwa kuwa wakati mchumba wake akiwa katika harakati za kukamilisha
mipango ya ndoa akapata taarifa kuwa mchumba wake huyo amefariki kwa
ajali ambapo hakuweza kuamini hadi alipoonyeshwa picha za ajali hiyo.
Imeelezwa
kuwa marehemu alimuaga mchumba wake huyo kuwa anakwenda kulala kwa dada
yake na kwenda kinyume na alivyoaga na kukutwa na ajali hiyo
iliyompelekea umauti. Katika ajali ya gari hilo lililokuwa na wapenzi
wawili wote wamepoteza maisha papo hapo huko mkoani Geita.
marehemu enzi za uhai wake (pichani chini na juu)
Baada ya kupata ajali. Habari na picha kwa hisani ya mdau, Tarime
EmoticonEmoticon