OMARI NUNDU,AMINA MWIDAU WAHUDHURIA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA KUJADILI MASUALA YA MAENDELEO LEO

August 04, 2014
MBUNGE WA JIMBO LA TANGA,OMARI NUNDU KATIKATI KUSHOTO NI MBUNGE WA VITI MAALUMU CUF WILAYA YA TANGA AMINA MWIDAU NA NAIBU MEYA WA JIJI LA TANGA MUDHAMIRU SHEMDOE WAKIFUATILIA MIJADALA MBALIMBALI KWENYE KIKAO HICHO LEO

MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI KUSHOTO NA KULIA NI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA JULIANA MALANGE

MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI AKIPITIA MAKBRASHA MBALIMBALI.

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA,JULIANA MALANGE.

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA OMARI GULEDI AKIPITIA MAKABRASHA ,MBALIMBALI YA VIKAO

WAJUMBE WAKIFUATILIA MIJADALA MBALIMBALI LEO




DIWANI WA KATA YA MSAMBWENI KUPITIA CUF ABDURHAMANI AKITOA HOJA YAKE LEO



Share this

Related Posts

Previous
Next Post »