PINDA AKUTANA NA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI MJINI TANGA OSCAR ASSENGA July 01, 2014 OSCAR ASSENGA Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadahi ya washiriki wa mkutanono kati yake na Mameya ya Majijiji Miji na manispaa pamoja na wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya mjini Tanga Juni 30, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na baadhi ya wajumbe wa kikao cha Mameya wa Majiji, manispaa na miji nchini pamoja na Wenyeviti wa halmashauri za miji na wilaya baada ya kuzungumza noa mjini Tanga JUni 30, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts
EmoticonEmoticon