MBUNGE WA JIMBO LA KOROGWE MJINI AFUNGUA LIGI YA IDDI CUP ,AWATAKA VIJANA KUPENDA MICHEZO.

July 23, 2014


MBUNGE WA JIMBO LA KOROGWE MJINI,NASRI YUSUPH AKIUZNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA UFUNGUZI WA LIGI YA IDDI CUP INAYOCHEZWA KWENYE UWANJA WA SOKONI WILAYANI KOROGWE,MBUGE HUYO AMEFADHILI MASHINDANO HAYO KWA KUTOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZOTE ZINAZOSHIRIKI MASHINDANO HAYOO.



WACHEZAJI WA TIMU ZA KILOLE UNITED NA KOROGWE CITY WAKIWANIA MPIRA KWENYE MCHEZO WA UFUNGUZI WA MASHINDANO HAYO YANAYOCHEZWA KWA MTINDO WA MTOANO AMBAPO KILOLE UNITED WALIIBUKA NA USHINDI WA MABAO 4-1 DHIID YA KOROGWE CITY.
KATIBU WA MBUNGE WA JIMBO LA KOROGWE MJINI,ROBERTY BAGO AKIZUNGUMZIA MASHINDANO HAYO AMBAPO ALISIFU JUHUDI ZINAZOFANYWA NA MBUNGE HUYO ZA KUINUA MICHEZO KWENYE JIMBO HILO. WA KWANZA KULIA NI MBUNGE WA JIMBO LA KOROGWE MJINI,YUSUPH NASIR, KATIKATI KULIA MWENYEKITI WA CHAMA CHA SOKA WILAYA YA KOROGWE,PETER JUMA NA KATIBU WA CHAMA CHA SOKA WILAYA YA KOROGWE,ZAINA HASSANI.
BAADA YA KUFUNGWA BAO 4-1 HALI ILIKUWA HIVI JAMANI KWANINI MMEKUBALI KUFUNGWA ONA SASA TUNATOKA.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »