DC MBONI MGAZA AWAONGOZA WANANCHI WA MKOA WA TANGA KWENYE MAADHIMISHO YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA LEO.

July 25, 2014
KAIMU MKUU WA MKOA WA TANGA,MH.MBONI MGAZA AMBAYE PIA NI MKUU WA WILAYA YA MKINGA,MBONI MGAZA AKIENDA KUWEKA MASHADA YA MAUA KATIKA MNARA WA MASHUJAA KWENYE ENEO LA UHURU PARK LEO KUSHOTO KWAKE NI KAMANDA WA POLISI MKOA WA TANGA,CONSTATINE MASSAWE.

MEYA WA JIJI LA TANGA ALHAJ OMARI GULEDI AKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA MNARA WA KUMBUKUMBI YA MASHUJAA JIJINI TANGA LEO.

BAADHI YA MAKANDA WALIOHUDHURIA MAADHIMISHO HAYO LEO KUSHOTO NI MSHAURI WA MGAMBO WILAYA YA TANGA.


ASKARI MGAMBO WAKIWA WAMEJIPANGA KWA AJILI YA GWARIDE LAO




Share this

Related Posts

Previous
Next Post »