Rais Kikwete akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Ikulu DSM OSCAR ASSENGA May 19, 2014 OSCAR ASSENGA Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mhe.Nguyen Phuong Nga wakati waziri huyo alipomtermbelea leo ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro). Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts
EmoticonEmoticon