Mshauri
na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa
ufafanuzi kuhusu madhumuni ya warsha hiyo inayoendeshwa chini mradi wa
Democratic Empowerment Project (DEP) unaofadhiliwa na Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na kutekelezwa na UNESCO. Kulia ni
Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Bi. Farida Mgomi.
Mkuu
wa Wilaya ya Masasi, Bi. Farida Mgomi, akitoa hotuba ya ufunguzi wa
warsha ya Maadili na kuandika Habari za Jinsia na Migogoro kwa waandishi
wa habari wa Redio za Jamii iliyofanyika Masasi mkoani Mtwara.
Mshiriki wa warsha Hassan Hassan kutoka Kituo cha Redio Micheweni FM, Pemba, akiwasilisha kazi ya kikundi kazi.
ichani
juu na chini ni washirki kutoka Redio Jamii za Micheweni, Mtegani,
Zenji, Pangani na Fadhila waliohudhuria warsha ya siku 10 iliyofanyika
kwenye kituo cha Redio Fadhila FM Masasi.
Picha ya pamoja ya washiriki wa warsha pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Bi Farida Mgomi (wa pili kulia).
EmoticonEmoticon