NAIBU KATIBU MKUU WA TAMISENI DEO MTASIWA AKUTANA NA VIONGOZI WA MFUKO WA BIMA YA AFYA NHIF KWENYE MKUTANO WA 30 WA ALAT MJINI TANGA.

May 15, 2014
VIONGOZI WA BIMA YA AFYA WAKIWA KATIKA MKUTANO MKUU WA 30 WA ALAT KWENYE UKUMBI WA REGAL NAIVERA JIJINI TANGA PAMOJA NA NAIBU KATIBU MKUU WA TAMISEMI  DEO MTASIWA,WA PILI KUSHOTO NI MENEJA WA MFUKO WA BIMA YA AFYA NIHF MKOA WA TANGA,ALLY MWAKABABU WA PILI KUTOKA KULIA NI NDG RAPHAEL MWAMOTO AMBAYE NI MKURUGENZI WA UTAFITI NA MASOKO WA ELIMU KWA JAMII WA MFUKO WA BIMA YA AFYA.


VIONGOZI WA BIMA YA AFYA WAKIWA KATIKA MKUTANO MKUU WA 30 WA ALAT KWENYE UKUMBI WA REGAL NAIVERA JIJINI TANGA PAMOJA NA NAIBU KATIBU MKUU WA TAMISEMI  DEO MTASIWA,WA PILI KUSHOTO NA WA KWANZA KULIA NI MENEJA WA MFUKO WA BIMA YA AFYA NIHF MKOA WA TANGA,ALLY MWAKABABU WA PILI KUTOKA KULIA NI NDG RAPHAEL MWAMOTO AMBAYE NI MKURUGENZI WA UTAFITI NA MASOKO WA ELIMU KWA JAMII WA MFUKO WA BIMA YA AFYA.

MENEJA WA MFUKO WA BIMA YA AFYA MKOA WA TANGA (NHIF) AKIFURAHIA JAMBO JANA KWENYE MKUTANO WA 30 WA ALAT UNAOFANYIKA JIJINI TANGA.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »