MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA WAANZA LEO MKOANI TANGA.

May 08, 2014

KAIMU  KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA,MONICA KINALA AKITOA HOTUBA YAKE LEO WAKATI AKIFUNGUA   MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA LEO KWENYE UKUMBI WA HOTEL YA TANGA BEACH RESORT.

KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI,CHARLES CHACHA AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO HUO KUSHOTO NI  MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU WA WIZARA YA UCHUKUZI,ISSA NCHASI KULIA NI KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA,MONICA KINALA

MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU WA WIZARA YA UCHUKUZI,ISSA NCHASI AKIZUNGUMZA LEO WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA NCHINI,KATIKATI NI KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE,CHARLES CHACHA NA KAIMU  KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA,MONICA KINALA AMBAYE ALIMUWAKILISHA MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA
WA KWANZA KULIA NI KAIMU  KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA,MONICA KINALA AMBAYE ALIMUWAKILISHA MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA KATIKATI NI KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI,CHARLES CHACHA NA WA KWANZA KUSHOTO NI MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU WA WIZARA YA UCHUKUZI,ISSA NCHASI.

KUSHOTO WA KWANZA NI KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI,CHARLES CHACHA AKISISITIZA JAMBO KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA ULIOFANYIKA LEO KWENYE HOTEL YA TANGA BEACH RESOT.
KAIMU KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA,MONICA KINALA WA KWANZA KUSHOTO AMBAYE ALIMUWAKILISHA MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA LEO ULIOFANYIKA KWENYE HOTEL YA TANGA,BEACH RESORT AKIFUATILIA KWA UMAKINI HOTUBA YA  KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI,CHARLES CHACHE
SEHEMU YA WAJUMBE KWENYE MKUTANO HUO LEO
WAJUMBE WAKIFUATILIA HOTUBA YA MGENI RASMI KWENYE MKUTANO HUO
WAJUMBE WAKIFUATILIA HOTUBA YA MGENI RASMI KWENYE MKUTANO HUO
KATIKATI NI KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI,CHARLES CHACHA KUSHOTO NI KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA,MONICA KINALA AMBAYE ALIMUWAKILISHA MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA WA KWANZA NI
MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU WA WIZARA YA UCHUKUZI,ISSA NCHASI WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA NCHINI.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »