Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
viongozi wa serikali na wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA)
wakiangalia maandamano ya wafanyakazi wakati wanaingia uwanjani hapo leo katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani
(MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, Naibu Rais TUCTA, Notburga
Masikini na Katibu Mkuu wa TUCTA, Nicolaus Mgaya na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Mdundiko ulioendelea
Benki
ya Twiga Bancorp ilishiriki maadhimisho ya mwaka huu ya siku ya
wafanyakazi kwa chini ya Chama chao cha Wafanyakazi TUICO na kujumuika
na wafanyakazi webnzao duniani kopte katika maandamano kama
inavyoonekana pichani.
Wafanyakazi
wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania wakishiriki katika
maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Kitaifa Jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali TSN, nao walishiriki katika maandamano hayo.
Kampuni ya Bia ya Serengeti nayo ilishiriki katika maadhimisho hayo na pichani ni wafanyakazi wake wakiwa uwanjani hapo.
Askari wa Wanyama Pori wakishiriki katika maadhimisho hayo na katika gari ni ngozi ya Mamba
EmoticonEmoticon