Ajali
imetokea mombo leo hii. Coastal iliyoanguka ilikuwa na watu 25, Mungu
kasaidia hakuna aliyekufa. Hongereni sana madaktari wa Magunga kwa kazi
nzuri! - Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo.
Tunawapa pole majeruhi wote na tunawatakia nafuu ya haraka
EmoticonEmoticon