April 08, 2014

WAZIRI LAZARO NYALANDU AZINDUA MAJENGO YA CHUO CHA MUSOMA UTALII TABORA

Waziri wa Maliasili na Utalii Bw.Lazaro Nyalandu akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Majengo ya Chuo cha Musoma Utalii  Tabora wakati wa mahafali ya kumi ya Chuo hicho.
Waziri Nyalandu akiweka jiwe la msingi katika Chuo cha Musoma Utalii mkoani Tabora,Kulia ni Mkurugenzi wa Chuo hicho Bw.Shabani Mrutu.
Waziri Nyalandu akipatiwa maelezo ya malengo ya uanzishwaji wa Chuo cha Musoma Utalii Tabora kutoka kwa Mkurugenzi wa Chuo hicho Bw.Shabani Mrutu ofisi kwake.
Waziri wa maliasili na Utalii Bw.Lazaro Nyalandu akiwasalimia baadhi ya wahitimu wa kozi mbalimbali wakati wa mahafali ya kumi ya chuo cha Musoma Utalii Tabora.
Mkurugenzi wa Chuo cha Musoma Utalii Bw.Shaban Mrutu akisoma taarifa fupi ya Chuo kwa mgeni rasmi wakati wa mahafali ya kumi ya chuo hicho.
Waziri wa maliasili na Utalii Bw.Lazaro Nyalandu akizungumza katika mahafali ya kumi ya Chuo cha Musoma Utalii Tabora ambapo aliwataka wahitimu kuwa wavumilivu na kuongeza juhudi katika kutafuta elimu
Mmoja wa wahitimu wa Chuo cha Musoma Utalii akimpa mkono mgeni rasmi Waziri Nyalandu wakati wa mahafali hayo ya kumi.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »