Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Watanzania hapa Washington DC kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano.Mh:Mwigulu
Nchemba akiongozwa na Balozi wa Tanzania hapa Washington DC Bi.Libereta
Mulamula Kuelekea Kufungua Sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania
hapa Washington DC.Mke
wa Mh:Mwigulu Nchemba (Kulia)akisalimiana na Mwanamitindo Maarufu wa
Mavazi hapa Washington DC na Viunga Vyake Miss Temeke wa "KWETU
FASHION".
Ukuta Umependeza kwa Baongo Kubwa la Miaka 50 ya Muungano hapa Ubalozini Washington.Mh:Mwigulu
Nchemba akitembelea Mabanda ya Maonesho ya Vitu Mbalimbali vya asili ya
Tanzania nje ya Jengo la Ubalozi wa Tanzania hapa Wahsington DC.
Mh:Mwigulu
Nchemba akipata maelezo kuhusu Vitenge na Khanga zinazouzwa Nje ya
Jengo la Ubalozi wa Tanzania zenye Kutengenezwa Tanzania.
Maonesho yanaendelea hapa Washington DC,Ubalozi wa Tanzania.Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano yamefana sana Washington DC.
Mh:Mwigulu
Nchemba akikata Utepe Kuashiria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya
Muungano hapa Washington Dc Zimefunguliwa rasmi,Kulia Kwake ni Balozi
Libereta Mulamula na Kulia Kwake ni Waziri anayeshughulikia
Muungano-Zanzibar Mh:Mwinyihaji Makame.
Ubunifu:Miaka 50 Ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC.Viongozi
wakionja Chakula cha Asili cha Tanzania kilichopikwa hapa Washington
DC,Ugali wa Mihogo,Makande,Ndizi,Kisamvu n.k Vilikuwepo.Katikati
ni Bwana Okoka Sanga akiwa na Viongozi wa Kitaifa waliofika Kuadhimisha
Miaka 50 ya Muungano hapa Washington,Okoka Sanga ni Mtengenezaji
Maarufu wa Kadi na Mifuko ya Zawadi hapa Washington DCMaadhimisho yanaendelea huku Kuta za Jengo la Ubalozi zikiwa Zimepambwa Picha za Viongozi wetu wa Kitaifa. Bidhaa za Bakharesa pia Zilikuwepo kwenye Sherehe hizi za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano,Hakika Zimefana sana. Tanzania Nchi inayopendwa na Mataifa Yote Duniani,Kisiwa cha Amani na Upendo. I
love Tanzania,Bibi huyu wa Kizungu alipata Kuishi Tanzania na
Kufanikiwa Kupandisha Sehemu ya Mlima Kilimanjaro,Hapa anahamasisha Watu
Kupanda Mlima Kilimanjar. Viongozi
wa Chama Cha Mapinduzi Kutoka Huston-Texas Waliofika hapa Washington DC
Wakiwa katika Picha ya pamoja na Mh:Mwigulu Nchemba mara baada ya
Kuzungumza Machache kuhusu Kuimarisha Chama hapa Marekani,
Mh:Mwigulu
Nchemba akimvisha Skafu ya Tanzania huyu Mtoto wa Kizulu-South Africa
aliyepiga Ngoma na kufanya Umati Kushangilia kwa Shangwe,Baba yake wa
huyu Mtoto aliwahi Kuishi Tanzania Mwaka 1982.
Kikundi cha Wacheza Ngoma ya Asili cha Watanzani waishio hapa Marekani Wakitumbuiza Kwenye Sherehe za Miaka 50 ya Muungano.
Mh:Mwigulu Nchemba akibadilishana Mawazo na Watanzania nje ya Jengo la Ubalozi hapa Washington DC.Kwetu FashionNje
ya Jengo la Ubalozi Watanzania wanabadilishana Mawazo,Wamepata Fursa
yakuwa pamoja kwa sababu ya Muungano Wetu uliofikisha Miaka 50 hii leo.Mtanzania akiwaongoza wazungu hawa Kula chakula cha Asili cha Tanzania. Miss
Tanzania wa hapa Marekani aliyeshinda Mwaka Jana 2013/2014 akiwasili
Ubalozini tayari kwa Kuungana na Watanzania Kusherekea Miaka 50 ya
Muungano.Tanzani Is All AaboutUkodak Unahusika. Watanzania Wamefurahi sana Hapa Washington DC kuadhimisha Miaka 50 ya Muungano,Wamejitokeza Kwa Wingi sana,Hivi
ndivyo Muungano Ulivyofana Miaka 50,Nyama Choma na Vyakula vya asili
vimepatikana Kwa Wingi hapa TANZANIA HOUS Washington DC.Tanzania Culture is All about. Maadhimisho yamefana sana,Mtoto akionesha Uwezo wa Kucheza Ngoma ya Asili.Chombo
cha Habari "SAUTI YA AMERIKA'VOA nao Walijumuika na Watanzania hapa
Marekani,.Mtangazaji Hamza Mwamoyo akiwana Viongozi wa Serikali ya
Tanzania Mh:Mwigulu NChemba (Kulia) na Mh:Mwinyihaji(Kushoto) baada ya Kufanya Kipindi kitakacho rushwa Voice Of America.
EmoticonEmoticon