Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha katika kikao cha
utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha Khamis Mussa Omar,akiwasilisha mpango wa matumizi
ya fedha katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa Wizara hiyo
katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014, katika
ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, chini ya Mwenyekiti
wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Juma Ameir Hafidh. Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu
EmoticonEmoticon