 |
| Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
viongozi wengine wakuu wa serikali chama cha Mapinduzi CCM, akiwemo
Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana (kushoto) katika hafla ya
kumuaga aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania mara mbili katika awamu mbili
tofauti, Mzee Cleopa David Msuya (wa kwanza kulia kwa Rais) ambaye
amestaafu rasmi siasa baada ya kuitumikia kwa zaidi ya miaka 33. |
Katibu wa CCM, wilaya ya Mwanga, akisoma historia fupi ya Mzee Msuya kabla na baada ya kujiunga na siasa
 |
| Baadhi ya Wananchi waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za CCM wilaya ya Mwanga leo |
Mjumbe wa Halmashauri kuu wa CCM wilaya ya Mwanga, Joseph Thadayo
akitoa salamu za marafiki na wasomi waishio nje ya Mwanga, ikiwemo
salamu za Mwanasiasa maarufu na mdhamini wa CCM, Mzee Peter
Kisumo ambaye aliwahi kufanya kazi pamoja na mzee Msuya katika Siasa.
Mzee Msuya akitoa pongezi zake kabla ya kuaga rasmi.
 |
| Kundi la wazee wa kimila wakiongozwa na Mzee Kasim Msemo wakimkaribisha Mzee Msuya kijijini |
Mzee Msuya akiwa amekaa kwenye kiti cha jadi kama ishara ya kurudi rasmi kijijini baada kutangaza kustaafu siasa
Rais
Kikwete akizungumza na wananchi katika hafla ya kumuaga Mzee Msuya
katika ulingo wa siasa, uliofanyika leo katika ofisi za CCM wilaya ya
Mwanga.
Mamia ya Wananchi waliokusanyika kushuhudia hafla hiyo
Share this
EmoticonEmoticon