Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Ndugu
Betty Mkwasa mara baada ya kuwasili mjini Bahi kushiriki mkwenye sherehe
ya uzinduzi wa uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma
Kikwete akiwapungia wanafunzi na wananchi wa Bahi waliohudhuria sherehe
ya uzinduzi wa saratani ya shingo ya kizazi mjini hapo.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mganga wa Macho
wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Frank Magupa, wakati alipotembelea maonesho ya
kitabibu yaliyofanyika sambamba na upimaji wa saratani ya shingo ya
kizazi kwa wanawake wa wilayani Bahi.
Mamia
ya wananchi wa Bahi wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa
zinatolewa na viongozi wa wakati wa sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa
saratani ya shingo ya kizazi iliyofanyika huko Bahi, Mkoani Dodoma
Naibu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Kebwe Staphen Kebwe akitoa salamu
hotuba kwa niaba ya wizara ya Afya wakati wa uzinduzi wa upimaji wa
saratani ya shingo ya kizazi huko wilayani Bahi.
EmoticonEmoticon