Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim
Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba
huo Ubungo Makuburi jioni ya leo April 15, 2014, siku ambayo marehemu
alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Marehemu Gurumo, aliyefariki dunia juzi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matatizo ya moyo, atakumbukwa kama Baba wa Muziki wa dansi nchini akianzia miaka ya 1960 na bendi mbalimbali ikiwemo NUTA Jazz na kumalizia na Msondo Ngoma kabla ya kustaafu muziki mwaka jana.

Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pole Bw. Abdallah Muhidin Gurumo, mtoto wa
marehemu Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba
huo Ubungo Makuburi jioni ya leo April 15, 2014,
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Bw. Omar Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia
alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya leo April 15,
2014.
Sehemu ya waombolezaji
Mmoja wa wana familia Bw. Salim Zagar akitoa taarifa fupi ya msiba pamoja na mazishi kwa Mhe Rais
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Muziki wa dansi Bwana Brighton akimshukuru Rais Kikwete kwa kwenda kutoa pole ya msiba huo
CREDIT: MICUZI WEB
EmoticonEmoticon