Rais
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Azam FC, John Bocco jioni
hii baada ya kuifunga bao 1-0 JKT Ruvu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi,
Dar es Salaam.
Mabingwa wakisherehekea na taji lao, sherehe za ubingwa zinaanza sasa Complex hadi usiku wa manane
Mwenye timu; Mmoja wa Wakurugenzi wa Azam FC, Yussuf Bakhresa akifuarhia Uwanja wa Azam Complex leo
Watoto Said kulia na Idha kushoto wakiwa Uwanja wa Azam Complex
EmoticonEmoticon