VODACOM Tanzania yatoa msaada ya Miavuli 20 kwa Jeshi la usalama Barabarani
Mkaguzi
Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa akipokea
msaada wa miamvuli(20)kutoka kwa Menaja Uhusiano wa Umma wa Vodacom
Tanzania Matina Nkurlu, msaada huo utawawezesha askari wa usalama
barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi,wanaoshuhudia
wa pili kutoka kulia ni Tumaini Kimaro, Simoni Lugangila na Emmanuel
David. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Menaja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)akifungua
mmoja ya miamvuli(20)kabla ya kuikabidhi rasmi kwa Mkaguzi Msaidi wa
usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa(kulia) msaada huo
utawawezesha askari wa usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa
katika maeneo ya kazi. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi
Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkaguzi
Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa akipokea
msaada wa miamvuli(20)kutoka kwa Menaja Uhusiano wa Umma wa Vodacom
Tanzania Matina Nkurlu, msaada huo utawawezesha askari wa usalama
barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi,wanaoshuhudia
wa pili kutoka kulia ni Tumaini Kimaro, Simoni Lugangila na Emmanuel
David. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Menaja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw. Matina
Nkurlu(kushoto)akiongea mara baada ya kukabidhi msaada ya
miamvuli(20)kwa Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni
,Byego Marwa(kulia) msaada huo utawawezesha askari wa usalama barabarani
kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi. Hafla hiyo ilifanyika
katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.
.Askari
wa usalama barabarani Tumaini Kimambo akiambatana na Meneja Uhusiano wa
Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu,kuhifadhi miamvuli 20
iliyotolewa msaada na Vodacom Tanzania kwaajili ya kuwawezesha askari wa
usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi,Hafla
hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.
EmoticonEmoticon