Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Siku ya
Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe na Uzinduzi wa Kampeni za Uchangiaji wa
Ujenzi wa Bweni la Wanachuo wa Kike.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Siku ya
Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe na Uzinduzi wa Kampeni za Uchangiaji wa
Ujenzi wa Bweni la Wanachuo wa Kike ambapo aliwashi mabinti kuzingatia
masomo kwanza kabla ya kuingia kwenye mambo mengi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi kampeni za
uchangiaji wa ujenzi wa bweni la wanachuo wa Kike.
Wanafunzi wa Chuo Cha Mzumbe
wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.
Samia Suluhu Hassan kwenye Siku ya Wahitimu wa Chuo Kikuuu cha Mzumbe na
uzinduzi wa kampeni za uchangiaji wa ujenzi wa bweni la wanachuo wa
kike.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Bernadetha
Msigwa mwanafunzi wa chuo cha Mzumbe ambaye amepoteza uwezo wake wa
kuona na anasubiri kwenda nje kwa matibabu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea kitabu chenye
orodha ya majina ya wanachuo waliohitimu katika chuo cha Mzumbe
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Msanii
maarufu wa kuigiza sauti za Viongozi anayejulikana kwa jina la JK
Komedian
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan(katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbali mbali
wakati wa sherehe ya Siku ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe na Uzinduzi
wa Kampeni za Uchangiaji wa Ujenzi wa Bweni la Wanachuo wa Kike Kampasi
Kuu mjini Morogoro, Waliokaa kutoka kushoto ni Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako na
Mkuu wa Chuo cha Mzumbe,Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Barnabas Samatta, kulia
ni Mkuu wa mkoa wa Moro Mhe. Steven Kebwe na Rais wa Baraza la la
Masajili,chuo kikuuu Mzumbe Bw. Ludovick Utouh
EmoticonEmoticon