Mbunge
wa Viti Maalum-Chadema, Rose Kamili akiwa
Hospitali ya Mkoa wa Iringa, ambapo mbunge huyo alimwelezea Mwenyekiti
wa Chadema na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe(hayupo Pichani)namna
alivyotekwa, kuteswa na watu aliodai kuwa ni vijana wa kikosi cha ulinzi
cha
Chama Ch Mapinduzi (CCM), Green Guard.
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe
akimjulia hali na kumsikiliza Mbunge wa Viti Maalum-Chadema, Rose Kamili akiwa
Hospitali ya Mkoa wa Iringa, ambapo mbunge huyo alimwelezea kiongozi huyo namna
alivyotekwa, kuteswa na watu aliodai kuwa ni vijana wa kikosi cha ulinzi cha
Chama Ch Mapinduzi (CCM), Green Guard.
Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, namna
ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea kupata matibabu katika hospitali
hiyo.
Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio la kutekwa na
kuteswa kwa Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili lililotokea jana usiku katika
Kijiji cha Kitawaya, Kaa ya Luhota, jimboni Kalenga, wakati alipokuwa
akizungumza na mawakala wa CHADEMA, ambapo imedaiwa kitendo hicho kilifanywa na
vijana wa ulinzi wa CCM.
Helikopya
ya Chadema iliyowabeba Mgombea wa CHADEMA,
Grace Tendega Mvanda akiwa na Kampeni Meneja wake, Godbless Lema akitua
ambapo Godbless Lema na Grace Tendega walikua wakizunguka katika maeneo
mbalimbali kuangalia shughuli ya upigaji kura
vituoni ilivyokuwa ikiendelea leo
Mgombea wa CHADEMA,
Grace Tendega Mvanda akiwa na Kampeni Meneja wake, Godbless Lema muda mfupi baada ya kushuka kwenye helikopta yao walipokuwa
wakizunguka katika ameneo mbalimbali kuangalia shughuli ya upigaji kura
vituoni ilivyokuwa ikiendelea leo
Mgombea
wa CHADEMA,
Grace Tendega Mvanda akibadilishana mawazo na muda mfupi baada ya
kutembelea maeneo mbalimbali kuangalia shughuli ya upigaji kura
vituoni ilivyokuwa ikiendelea leo.Picha Zote na Chadema
EmoticonEmoticon