Picha Kutoka Kampeni Za CCM Chalinze:Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete Kweli Amedhamiria Kuwakomboa Wanachalinze
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kulia) akimsikiliza kwa makini
Mlemavu wa miguu,Hamis Ibrahim Mkazi wa Kijiji cha Kwarihombo,ambaye
alikuwa akimuomba Mgombea huyo msaada wa kupatiwa Baiskeli ya kulembelea
kutokana na kwamba aliyonayo imechoka sana.Ridhiwani ameahidi
kumpelekea Baiskeli mpya ya kutembelea Mlemavu huyo.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha
Kwaruhombo,leo Machi 16,2014.Ridhiwani Kikwete ameahidi kuyashughulikia
Matatizo mbali mbali wanayokabiliana nayo Wananchi wote wa Jimbo la
Chalinze,yakiwemo ya Barabara,Maji,Elimu,Matibabu na mengine mengi
ambapo amesema atayafanyia kazi atakapopewa ridhaa ya kuwa kiongozi wa
Wanachalinze.
Meneja
wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Steven Kazidi
akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete kwa Wananchi wa Kijiji cha
Kwarihombo,Kata ya Mbwewe,Bagamoyo leo Machi 16,2014.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wapungua mkono wananchi wa Kijiji cha
Kwarihombo,wakati alipokuwa akiwasili kwenye Kijiji hicho,leo Machi
16,2014.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea Jogoo kutoka kwa kina Mama wa
Kijiji cha Kwamsanja,Kata ya Kibindu leo Machi 16,2914
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) na Meneja
wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Steven Kazidi
wakiangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja dogo katika Kijiji cha
Chang'ombe,linalounganisha Barabara inayotoka Kwarihombo kupitia
Kwamsanja mpaka Kibindu,Kata ya Kibindu,ndani ya Jimbo la Chalinze leo
Machi 16,2015.
Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwa ameungana na wananchi wa Kijiji
cha Kwamduma,Kata ya Kibindu kwenye Msiba wa Mtoto wa Mzee Juma Mkonje
(hayupo pichani) uliotokea leo Machi 16,2014.Picha Zote na Othman
Michuzi
EmoticonEmoticon