March 17, 2014

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAFANYA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI

IMG_9395  
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Watumishi Bw. George D. Yambesi, katikati, akiendesha mkutano wa Baraza, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. HAB Mkwizu na kushoto ni Katibu Bi. Lilian Denis.
IMG_9401IMG_9403  
Sehemu ya Wajumbe wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi.IMG_9425 Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Bw. Mick Kiliba akitoa mchango wake wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa 

UmmaIMG_9427 Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi Rasilimaliwatu Bw. Emmanuel Mlaya akitoa mchano wake wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Utumishi.IMG_9436 
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Watumishi akisikiliza hoja wakati wa mkutano, kulia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. HAb Mkwizu

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »