Wednesday, January 15, 2014
BREAKING NEWS.....MAGARI MAWILI YAWAKA MOTO IRINGA WAKATI WANAFUNZI WAKIJIFUNZA KUUNGA NGAO
Wananchi Iringa mjini wakilitazama daladala lililowaka moto wakati likiwa kwa mafundi kuunga likichomelewa leo eneo la uwanja wa samora |
Daladala likiwaka moto huku kikosi cha zimamoto na uokoaji wakizima moto huo |
Gari la Zimamoto na uokoaji mjini Iringa likizima moto uliokuwa ukiteketeza daladala eneo la Samora leo |
EmoticonEmoticon