January 21, 2014

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA HABARI APOPOKELEWA KATIKA OFISI ZA WIZARA HIYO

IMG_9633Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel akimkaribisha Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia katika tukio la kumkaribisha lililofanyika jijini Dar es Salaam jana IMG_9642  Mkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania Bwana Clement Mshana (kushoto) akimpongeza Mheshimiwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia wakati wa mapokezi yake katika Ofisi za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam Leo  katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof. Elisante Olegabriel IMG_9649Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Bwana Kulwa Magingila wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof Elisante Olegabriel

IMG_9666Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fennela Mukangara akimkaribisha Naibu Waziri Mheshimiwa Juma Nkamia katika Ofisi za Wizara zilizopo katika jengo la Mfuko wa Pensheni wa PSPF jijini Dar es Salaam jana. IMG_9681Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara akiongea na Wanahabari akiongea na Wanahabari wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri Mheshimiwa Juma Nkamia jijini Dar es Salaam leo wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bwana Raphael Hokororo. IMG_9686Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akiongea na Wanahabari Ofisini kwake katika tukio la kumkaribisha lililofanyika jijini Dar es Salaam leo kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof Elisante Olegabriel

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »