MKWAKWANI UPO TAYARI KWA LIGI KUU LEO.

January 25, 2014
Kutoka kushoto ni Meneja wa Uwanja wa Mkwakwani,Mbwana Msumari akitoa ufafanuzi kwa katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga (CCM)Gustav Muba kuhusu maandalizi ya uwanja huo kabla ya kuanza ligi leo.





KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA TANGA(CCM)GUSTAV MUBBA KUSHOTO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI AMBAO HAWAPO PICHANA KUHUSU KUKAMILIKA KWA UWANJA HUO AMBAPO LEO UTATUMIKA KWA MECHI KATI YA OLJORO JKT NA COASTAL UNION BAADA YA UKARABATI WAKE ULIOGHARIMU MILIONI 20

HAYA NI BAADHI YA MAGETI YA KIELECTRONIKI AMBAYO YALIFUNGWA KWENYE UWANJA WA CCM MKWAKWANI AMBAYO LEO YATATUMIKA KWENYE MECHI ZA LIGI KUU TANZANIA BARA.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »