*HAFLA FUPI YA KUWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU DAR JANA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na
mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta na familia yake, baada
ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo. Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha
Mwigulu Nchemba.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa Naibu Waziri wa
Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini
Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha,
katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwanga, kuwa Naibu Waziri wa
Nishati na Madini, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya
Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Amos Makala, kuwa Naibu Waziri wa Maji,
katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Jenista Mhagama, kuwa Naibu Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana, kuwa Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, katika hafla fupi iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Juma Nkamia, kuwa Naibu Waziri wa Habari,
Vijana Utamaduni na Michezo, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa, kuwa Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya
Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Asha-Rose Migiro, kuwa Waziri wa
heria, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini
Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na mke wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Faraja Kotta na
mumewe Lazaro Nyalandu,baada ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kulia kwa Makamu ni
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
EmoticonEmoticon