January 01, 2014

FM ACADEMIA WALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA WA 2014 NA KUUAGA 2013

 Wanamuziki wa bendi ya Fm Academia, wakishambulia jukwaa kwa shoo kali ya pamoja wakati wa onesho lao maalum la kufunga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Business Park jana usiku.
 Mashabiki na wapenzi wa bendi hiyo, wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea jukwaani.
 Mashabiki wakifurahi......
 furaha ya kuukaribisha mwaka....
 Wanenguaji wa kike wa bendi hiyo wakipumzika.....
 Watangazaji wa Televisheni ya Taifa TBC, ambao walikuwa Live katika ukumbi huo sambamba na Fm Academi kuukaribisha mwaka mpya.
 Mashabiki....
Wanamuziki wa Fm, wakishambulia jukwaa.
 
Picha kwa hisani ya Mafotoblog

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »