January 10, 2014

COASTAL UNION NDANI YA MUSCAT

Msafara wa Coastal Union baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Muscat, Oman jana kwa mwaliko wa klabu ya Fanja ya Oman. Coastal itakuwa huko Januari 23 kwa mazoezi na mechi za kujipima nguvu.
Wachezaji wa Coastal kutoka kulia Razack Khalfan, Jerry Santo na Haruna Moshi 'Boban'
Kipa Shaaban Kado na Razack Khalfan kushoto

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »