SSRA YAJADILIANA NA JUKWAA LA WAHARIRI KUHUSU MPANGO MKAKATI WA KUPANUA WIGO WA HIFADHI YA JAMII KUPITIA ELIMU KWA UMMA
Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akiwasilisha mada kuhusu hali halisi ya sekta ya
hifadhi ya jamii nchini changamoto na mafanikio
Baadhi
ya wahariri wakuu wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakisiliza mada
ikiwasilishwa na mkurugenzi mkuu wa SSRA (hayupo pichani)
Mhariri
mkuu wa gazeti la Nipashe Bwana Jesse Kwayu akiuliza swali mara baada ya
uwasilishwaji mada
Bi.Irene Isaka Mkurugenzi
mkuu wa SSRA akijibu swali lililoulizwa
na mmoja wa Wahariri,kulia kwake Mkuu wa mawasiliano na uhamashishaji wa
SSRA Bi. Sarah Kibonde – Msika
Bi Irene Isaka Mkurugenzi
Mkuu wa SSRA akisisitiza juu ya umuhimu wa vyombo vya habari katika kutoa elimu
ya hifadhi ya jamii kwa wananchi,kushoto kwake Bwana Absalom Kibanda ambaye ni
mkuu wa Jukwaa la Wahariri nchini na kushoto kwake ni Mkuu wa mawasilianao na
uhamashishaji wa SSRA Bi. Sarah Kibonde –Msika .








EmoticonEmoticon