*EDWARD LOWASSA AFUNGUA TAMASHA LA MADEREVA WA BODABODA JIJINI DAR

December 22, 2013
 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwapungia mkono kuwaaga madereva wa  bodaboda  baada ya kumaliza kufungua tamasha lao lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders club Kinondoni, jijini Dar es Salaam jana. 
 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, akipokea maandamano ya madereva wa Bodaboda kwenye Viwanja w=vya Leaders Cluc jana.
 Madereva wa Bodaboda, wakimbeba msanii wa muziki wa kizazi kipya Linex wakati akitoa burudani katika Tamasha lao baada ya kuwapagawisha na kibao chake cha 'Bodaboda'.
 Tamasha hilo likiendelea kwa kila aina ya ujumbe...
 Madereva Bodaboda wakilifuta vumbi gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa baada ya kumaliza kuwafungulia tamasha lao kwenye Viwanja vya Leaders, jijini Dar es Salaam jana. 

Madereva Bodaboda wakilisukuma gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu
Mstaafu, Edward Lowassa baada ya kumaliza kuwafungulia tamasha lao
kwenye Viwanja vya Leaders, jijini Dar es Salaam jana. Na Mpigapicha
Wetu.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »